ZAIDI ya abiria 300,000 wamesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) ndani ya siku 44, hivyo kufanya hadi sasa idadi ya waliopanda tangu ianze huduma kati ya Dar es Salaam na Dodoma Agosti, 2024 kufik ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu watatu wakiwa na mtoto wa miezi saba, Merysiana Melkzedeck, wanaodaiwa kumwiba kwa wazazi wake katika tukio la uvamizi lililotokea Januari 15, mwaka huu ...