Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga, amethibitisha kuwa bado kuna watu wamekwama chini ya vifusi ...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
sehemu ya ngazi ya mawaziri ya COP29, ambayo imefunguliwa rasmi leo Jumanne Bwana. Guterres aliashiria uthibitisho huo, akibainisha kuwa mwaka 2024 unakaribia kuwa mwaka wa joto zaidi uliowahi ...
Dar es Salaam. Kikundi cha Masheikh na Walimu wa Dini ya Uislam nchini kimefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kupinga sharti la kuwa chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la ...
TOKA juzi huwezi kuwaambia baadhi ya mashabiki wa Simba kuwa dabi dhidi ya Yanga ni utani wa jadi akakuelewa. Ni kwa sababu wanaona hawakufungwa kihalali. Walipaswa kama si kushinda basi angalau ...
Siku ya Mazingira Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi wa Juni tangu mwaka wa 1973. Tangu wakati huo, Siku hii imekua na kuwa jukwaa kubwa zaidi la kimataifa la kuhamasisha kuhusu masuala ya ...
MSHTAKIWA namba moja katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novert, Padre Elpidius Rwegoshora, jana alianza kujitetea na kudai kuwa ana matatizo ya kusahau. Hatua hiyo ilisababisha Jaji ...
Azerbaijani iliitaka mahakama kukataa malalamiko ya Armenia, ikisema kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kushughulikia kesi hiyo. ICJ, ambayo inasimamia mizozo kati ya mataifa, iliktoa maagizo ya ...
na kuchapishwa kwenye wavuti wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya dharura, OCHA. Hali imezidi kuwa mbaya siku za karibuni, kwa mujibu wa OCHA, ambayo imeripoti kuwa jeshi la Israeli ...
Shigeru Ishiba amewaambia wanahabari kwamba wawili hao walikubaliana kupanga mkutano wa ana kwa ana “haraka iwezekanavyo,” akiongeza kuwa “alikuwa ... mazungumzo ya simu ambapo wawili ...
Limemnukuu Guterres akilihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema kuwa, wahusika wa vita vya Sudan wanachochea vurugu na mataifa ya kigeni yanauzidisha mzozo. Raia nchini humo ...
Dar es Salaam. Utulivu, subira na utayari wa kukubaliana na hatima ni mambo matatu muhimu yanayopaswa kuwa mwongozo kwa wagombea wa nafasi za uongozi, wakati huu wa kusubiri matokeo ya rufaa. Katika ...