Wachambuzi wa michezo kutoka sehemu mbalimbali za Afrika wanachukulia tukio hilo kuwa la kihistoria huku Rufai Shuaib kutoka Senegal akisema; "Kuandaa Michezo ya Olimpiki ya Vijana huko Dakar ...
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa naibu mpya wa rais nchini Kenya, baada ya kuondolewa katika nafasi mtangulizi wake Rigathi Gachagua Oktoba 17 na bunge la Seneti kwa kukiuka katiba ...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameutaarifu umma kuwa tuzo za waandishi wa habari za maendeleo walizoita ‘Samia ...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin alithibitisha kuwa upande wa Marekani una ushahidi wa kuwepo kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Urusi. Na Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images ...
Limeongeza kuwa alikuwa amekimbilia kwenye jengo moja lililoshambuliwa kwa risasi ya kifaru. Utambulisho wake ulithibitishwa kupitia vipimo vya vinasaba, alama za vidole na rekodi za meno.
Wakati fulani ilifikiriwa kuwa uwezo wa kuota ulikuwa tabia ya kipekee ya mwanadamu. Lakini aina kadhaa za spishi za zinaweza kufanya hivyo pia. Buibui wachanga wanaoruka huning'inia kwenye uzi ...