TOKA juzi huwezi kuwaambia baadhi ya mashabiki wa Simba kuwa dabi dhidi ya Yanga ni utani wa jadi akakuelewa. Ni kwa sababu wanaona hawakufungwa kihalali. Walipaswa kama si kushinda basi angalau ...
MSHTAKIWA namba moja katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novert, Padre Elpidius Rwegoshora, jana alianza kujitetea na kudai kuwa ana matatizo ya kusahau. Hatua hiyo ilisababisha Jaji ...
Unguja. Imeelezwa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inakabiliwa na tatizo la kiwango kidogo cha umeme kwenye laini zinazotoka Gridi ya Taifa ya Tanzania Bara. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, ...
na kuchapishwa kwenye wavuti wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya dharura, OCHA. Hali imezidi kuwa mbaya siku za karibuni, kwa mujibu wa OCHA, ambayo imeripoti kuwa jeshi la Israeli ...
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa naibu mpya wa rais nchini Kenya, baada ya kuondolewa katika nafasi mtangulizi wake Rigathi Gachagua Oktoba 17 na bunge la Seneti kwa kukiuka katiba ...
Limemnukuu Guterres akilihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema kuwa, wahusika wa vita vya Sudan wanachochea vurugu na mataifa ya kigeni yanauzidisha mzozo. Raia nchini humo ...
Siku ya Mazingira Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi wa Juni tangu mwaka wa 1973. Tangu wakati huo, Siku hii imekua na kuwa jukwaa kubwa zaidi la kimataifa la kuhamasisha kuhusu masuala ya ...
Mataifa 56 wanachama wa Jumuiya ya Madola wamemtangaza Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana Shirley Ayorkor Botchwey kuwa katibu mkuu mpya wa jumuiya hiyo. Mataifa hayo yameteua katibu mkuu huyo mpya ...
Benki ya Dunia imemchagua Mtanzania, Dk. Zarau Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo ...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameutaarifu umma kuwa tuzo za waandishi wa habari za maendeleo walizoita ‘Samia ...