Maelezo ya picha, Dk Shpak anasema ana uhakika kwamba beluga alitoroka mafunzo ya kijeshi ya Urusi lakini haamini kuwa alikuwa jasusi. Dk Shpak hakutaka kutaja vyanzo vyake nchini Urusi kwa ...
Chanzo cha picha, Reuters Wanajeshi wa Korea Kaskazini pia wamezoea hali ngumu, kwa kuwa serikali ni taifa maskini la kiimla lenye nidhamu kali, masharti ya utumishi wa muda mrefu, kuanzia miaka ...
Inatubidi kuanza upya ili kuwa chama chenye kushughulikia mateso, huzuni na hasira za watu kama vile ni za kwetu wenyewe. Ishiba anasema serikali yake itatayarisha hatua mpya za kiuchumi ili ...
Bunge la Japani limemchagua tena Ishiba Shigeru kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Hii inakuja baada ya Baraza lote la Mawaziri la Ishiba kujiuzulu jana Jumatatu asubuhi. Katika uchaguzi mkuu mwishoni ...
Katika ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa mindombinu ya MJNUAT, Makamu Mkuu wa chuo, Profesa Lesakit Mellau, hivi karibuni anaueleza ujumbe wa baraza la chuo, unaozuru chuo kikuu kuwa wameingia ...
Dar es Salaam. Utulivu, subira na utayari wa kukubaliana na hatima ni mambo matatu muhimu yanayopaswa kuwa mwongozo kwa wagombea wa nafasi za uongozi, wakati huu wa kusubiri matokeo ya rufaa. Katika ...
Dar es Salaam. Kikundi cha Masheikh na Walimu wa Dini ya Uislam nchini kimefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kupinga sharti la kuwa chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la ...
MWALIMU wa taaluma katika Shule ya Msingi Rulanda, wilayani Muleba, mkoani Kagera, anatuhumiwa kumbaka na kumnywesha vitu vinavyodhaniwa kuwa dawa za kulevya, mhitimu wa darasa la saba aliyefika ...