Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa naibu mpya wa rais nchini Kenya, baada ya kuondolewa katika nafasi mtangulizi wake Rigathi Gachagua Oktoba 17 na bunge la Seneti kwa kukiuka katiba ...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameutaarifu umma kuwa tuzo za waandishi wa habari za maendeleo walizoita ‘Samia ...
Limeongeza kuwa alikuwa amekimbilia kwenye jengo moja lililoshambuliwa kwa risasi ya kifaru. Utambulisho wake ulithibitishwa kupitia vipimo vya vinasaba, alama za vidole na rekodi za meno.
Wakati fulani ilifikiriwa kuwa uwezo wa kuota ulikuwa tabia ya kipekee ya mwanadamu. Lakini aina kadhaa za spishi za zinaweza kufanya hivyo pia. Buibui wachanga wanaoruka huning'inia kwenye uzi ...
Utafiti huo uliofanyika mwaka 2019 ulibaini kuwa msikiti wa Ka'bah uliopo Mecca, na Masjid al-Haram, ndio majengo yenye garama zaidi duniani na makubwa zaidi. Kupanuliwa kwa msikiti huo kwa miaka ...