Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
Maelezo ya picha, Dk Shpak anasema ana uhakika kwamba beluga alitoroka mafunzo ya kijeshi ya Urusi lakini haamini kuwa alikuwa jasusi. Dk Shpak hakutaka kutaja vyanzo vyake nchini Urusi kwa ...
Inatubidi kuanza upya ili kuwa chama chenye kushughulikia mateso, huzuni na hasira za watu kama vile ni za kwetu wenyewe. Ishiba anasema serikali yake itatayarisha hatua mpya za kiuchumi ili ...
Ishiba huenda akashinda, kwa kuwa vyama vya upinzani vimeshindwa kuelekeza uungaji mkono wao kwa mgombea mmoja. Ishiba anatarajiwa kuchagua Baraza lake jipya la Mawaziri punde baada ya kuchaguliwa ...
Dar es Salaam. Kikundi cha Masheikh na Walimu wa Dini ya Uislam nchini kimefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kupinga sharti la kuwa chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la ...
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa naibu mpya wa rais nchini Kenya, baada ya kuondolewa katika nafasi mtangulizi wake Rigathi Gachagua Oktoba 17 na bunge la Seneti kwa kukiuka katiba ...
Kadiri athari mbaya za tabianchi zinavyozidi kuongezeka, na kuumiza watu maskini duniani zaidi, Ripoti ya UNEP ya Kukabiliana Na Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu ya Mwaka wa 2024: Liwe liwalo, ...
Kuna madai yanayoenezwa kwenye Facebook, X na Youtube yakidai jeshi la FARDC, limetuma mfumo wake wa ulinzi wa anga mashariki mwa DRC katika tukio la kistoria, haswa huko Kivu. "Mfumo una uwezo wa ...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameutaarifu umma kuwa tuzo za waandishi wa habari za maendeleo walizoita ‘Samia ...