Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimesaini hati 11 za makubaliano ya kibiashara, ambapo sita ni baina ya ...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitolea kwa dhati kusaidia makundi haya kwa kushirikiana na mashirika kama TLS.
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini yemefanyika Oktoba 17, huku ikishuhudiwa Tanzania ikiwa kielelezo cha ...
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda (kushoto) akifafanua jambo katika kikao cha awali katika kiwanda cha Bakharesa Food ...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umezitaka taasisi zinazohusika na uchaguzi kuona umuhimu wa ...
Chama cha Wananchi (CUF) kimependekeza orodha ya wapigakura waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatuma Mwasa amesema wamejipanga kuingiza kiasi cha sh 96 bilioni kupitia programu ya kilimo ya miaka ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana kutumia fursa ya uwekezaji unaofanya na Serikali katika sekta ya TEHAMA ili kukuza uchumi ...
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shemata Khamis, amesema Serikali ya Zanzibar imechukua hatua ...
Meneja Mahusiano wa mgodi wa dhahabu Barrick North Mara, Francis Uhadi, amesema asilimia 51 ya ajira katika mgodi huo ...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imesema itahakikisha wananchi wengi wanafikiwa na huduma za kibingwa za uchunguzi na ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Hassan ameipongeza wizara ya madini kwa usimamizi mzuri na madhubuti wa ...