Madagascar iliwavutia wengi na kuangaziwa sana Aprili taifa hilo lilipotangaza kwamba lilikuwa limevumbua dawa ya corona kutoka kwa mmea. Dawa hiyo iliyokuwa imeandaliwa kama kinywaji ...
Mimea inayokula nyama iliopo hatararini kuangamia imeanza kupandwa tena katika maeneo kadhaa ya Uingereza katika jaribio la kupunguza kuangamia kwake. Wataalam wa mimea wanasema kwamba mimea hiyo ...